NEWS

Friday, 3 July 2026

Waziri Mkuu Mwigulu aweka jiwe la msingi ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Butiama Kizurira Nyerere



Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba (aliyevaa skafu), akifurahi mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi Hospitali ya Wilaya ya Butiama Kizurira Nyerere, akiwa katika ziara yake ya kikazi, leo Ijumaa, Julai 3, 2026. Aliye jirani naye ni Mbunge wa Jimbo la Butiama, Dkt. Charles Mahera. (Picha na Mara Online News)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages