
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan (kulia), akiwa na Rais wa Taasisi ya Maendeleo ya Diaspora wa Kiafrika (ADDI), Balozi Dkt. Arikana Chihombori-Quao, baada ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu, Agosti 24, 2026.
No comments:
Post a Comment