NEWS

Monday, 7 September 2026

Ndejembi amfariji Rais Samia kwa kufiwa mume


Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi, akimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kufiwa na mume wake, Hafidh Ameir Hassan, alipofika katika makazi yake, Kizimkazi, mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, jana Jumatatu, Septemba 7, 2026.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages