NEWS

Monday, 14 September 2026

RC Mara, mke wake wafika Kizimkazi kumpa pole Rais Samia



Mkuu wa Mkoa wa Mara, Brigedia Jenerali Evans Mtambi, akiwa na mke wake (waliosimama), wamefika Kizimkazi, mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, leo Sepotemba 14, 2026 kwa niaba ya wana-Mara kumpa pole Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir Hassan, kilichotokea hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages