NEWS

Monday, 9 November 2026

Rais Samia aelekea Uturuki kushiriki Mkutano wa COP31



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiagana na viongozi mbalimbali waliomsindikiza katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam, leo Jumanne, Novemba 10, 2026 tayari kwa safari ya kuelekea jijini Antalya, Uturuki kushiriki Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31).


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages