
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza mjadala kuhusu Nishati Safi ya Kupikia Barani Afrika katika Mkutano wa Ngazi ya Juu, pembezoni mwa Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), leo Novemba 12, 2026, ANFAÅž Antalya Expo Center, Uturuki.
No comments:
Post a Comment