MARA ONLINE NEWS

Call: +255 755 88950/ +255 765 649735


NEWS

Wednesday, 10 July 2019

TCRA YAIPATIA MARA ONLINE LESENI YA KURUSHA HABARI
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA)  jana imeipatia leseni Mara Online kuwa chombo cha habari cha mtandao ambapo kuanzia sasa blogu ya Mara Online imeanza kuchapisha/kutangaza  habari mbalimbali. Endelea kufuatilia habari zetu  ambazo hakika zitakuwa na weledi wa hali ya juu kupitia tovuti yetu ya : www.maraonlinenews.com

Tutakufikia popote ulipo na habari mpya za biashara, uhifadhi na mazingira,, elimu , afya, michezo na burudani.

                                                   
No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages