Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) jana imeipatia leseni Mara Online kuwa chombo cha habari cha mtandao ambapo kuanzia sasa blogu ya Mara Online imeanza kuchapisha/kutangaza habari mbalimbali. Endelea kufuatilia habari zetu ambazo hakika zitakuwa na weledi wa hali ya juu kupitia tovuti yetu ya : www.maraonlinenews.com
Tutakufikia popote ulipo na habari mpya za biashara, uhifadhi na mazingira,, elimu , afya, michezo na burudani.
No comments:
Post a Comment