NEWS

Saturday, 3 August 2019

MWENYEKITI WA CCM MARA AGEUKA MBOGO KWA WAWINDAJI HARAMU WA NYUMBU

Na Mwandishi wetu Tarime
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mara Samweli Kiboye Namba Tatu ameonya vijana wanaoingia Hifadhi ya  Serengeti  kuwinda nyumbu kwa ajili ya kitoweo kuacha mara moja
Namba Tatu ametoa onyo leo  hilo baada vijana watatu kukamatwa  wakiwa wanawinda nyumbu  katika Hifadhi ya taifa ya Serengeti
Namba Tatu  amevitaka vyombo vya dola kuwakamata watu wote wanaojihusisha  na vitendo vya ujangili hata kama ni wanachama wa CCM.
Baadhi  ya vijiji vya Mkoa wa Mara katika Wilaya za Tarime, Serengeti na Bunda  vinapakana  na hifadhi ya taifa ya Serengeti


TAZAMA VIDEO



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages