Na Mwandishi
wetu Tarime
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Mara Samweli Kiboye Namba Tatu ameonya vijana wanaoingia Hifadhi
ya Serengeti kuwinda nyumbu kwa ajili ya kitoweo kuacha mara
moja
Namba Tatu
ametoa onyo leo hilo baada vijana watatu
kukamatwa wakiwa wanawinda nyumbu katika Hifadhi ya taifa ya Serengeti
Namba Tatu amevitaka vyombo vya dola kuwakamata watu wote
wanaojihusisha na vitendo vya ujangili
hata kama ni wanachama wa CCM.
Baadhi ya vijiji vya Mkoa wa Mara katika Wilaya za
Tarime, Serengeti na Bunda vinapakana na hifadhi ya taifa ya Serengeti
TAZAMA VIDEO
No comments:
Post a Comment