NEWS

Sunday 4 August 2019

AJALI YA NDEGE YAUA WAWILI TABORANa mwandishi wetu,
Raia wawili wa Afrika Kusini wamefariki dunia baada ya ndege waliyokua wakisafiria kuanguka  Wilayani Sikonge Mkoani Tabora.
Ajali hiyo ilitokea jana jumamosi asubuhi katika kata ya Igwiga.
 Sekta ya mawasiliano Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na Mawasiliano nhichni Tanzania imesema jali  imesema ndege hiyo ilikuwa safarini kutoka uwanja wa undege wa Tabora kuelekea uwanja wa ndege wa kimataifa wa Lilongwe nchini Malawi.

Taarifa kutoka Sikonge zinasema  ndege hiyo yenye usajili ZU-TAF aina ya CLG4 ilipata ajali wakati ikiwa katika ziara ya kuhamasisha wanafunzi wa Afrika kusomea maswala ya anga.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages