NEWS

Tuesday 15 October 2019

NECTA WATANGAZA MATOKEO YA DARASA LA SABA 2019

Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. NECTA imeeleza ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78. Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909 wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo udanganyifu.
Katibu Mtendaji wa NECTA Dkt Charles Msonde amesema mwanafunzi aliyeongoza Kitaifa ni Grace Manga kutoka Shule ya Msingi Graiyaki iliyopo mkoani Mara

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages