NEWS

Tuesday 15 October 2019

MARA YATOA MWANAFUNZI BORA KITAIFA MATOKEO YA DARASA LA SABA



Mwanafunzi wa kwanza katika matokeo ya darasa la saba mwaka 2019 ni Grace Imori Manga kutoka shule ya  Msingi Graiyaki iliyopo Wilayani Serengeti   Mkoa  wa  Mara.

Matokeo hayo  yametangazwa  leo na Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Dkt Charles  Msonde .

Dkt Msonde amemtangaza  Grace kuwa ndiye mwanafunzi  bora kitaifa.

Aidha shule hiyo ya msingi ya Graiyaki  imeshika nafasi ya kwanza katika shule 10 bora kitaifa ikifutia na shule ya Twibhoki ambayo pia ipo Mkoani Mara .

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages