Baraza la Mitihani (NECTA) limetangaza matokeo ya Darasa la Saba 2019. NECTA imeeleza ufaulu umeongezeka kwa asilimia 3.78.
Waliofaulu ni asilimia 81.50 ya watahiniwa 933,369. Pia Watahiniwa 909
wamefutiwa matokeo kwa sababu mbalimbali ikiwemo udanganyifu.
Katibu Mtendaji wa NECTA Dkt Charles Msonde amesema mwanafunzi aliyeongoza Kitaifa ni Grace Manga kutoka Shule ya Msingi Graiyaki iliyopo mkoani Mara
No comments:
Post a Comment