NEWS

Tuesday 15 October 2019

RWANDA NA TAIFA STARS NGOMA DROO



Mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu ya Rwanda na Tanzania umekamilika kwa timu zote mbili kutoshana nguvu  bila kufungana.

Mchezo huo ulikuwa na ushindani mkubwa   hadi kufikia dakika 90 kutamatika timu hizi zilitoka suluhu ya ya kutokufungana .


Kocha msaidizi wa Taifa Stars,Selemani Matola amesema kuwa wachezaji walipambana kupata matokeo ila bahati haikuwa yao.


 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages