NEWS

Tuesday, 26 November 2019

CCM TARIME VIJIJINI HAPATOSHI


Mamia ya wanachama wa CCM na wananchi wa jimbo la Tarime vijijini wamejitokeza katika shule ya sekondari JK Nyerere iliyopo  Nyamwaga kusherehekea baada ya viongozi wapya wa serikali za vijiji katika jimbo hilo  kuapishwa mapema hii leo Novemba 26, 2019#Mara Online News Updates.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages