Mkuu wa wilaya ya Serengeti
Nurdin Babu akiendesha harambee ili kupata pesa kw ajili ya kununua taulo za kike kwa wasichana wa shule ya msingi
Masangura katika sherehe ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani iliyofanyika leo Machi 8,2020 kiwilaya katika shule hiyo wilayani Serengeti mkoani Mara #Mara online Updates
Post Top Ad
Your Ad Spot
Sunday, 8 March 2020
UKOSEFU WA TAULO ZA KIKE WAMGUSA DC SERENGETI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment