Kata ya Tai iliyopo
wilayani Rorya mkoani Mara leo machi 2020 imewasilisha taarifa ya utekelezaji wa ILANI ya chama cha
mapinduzi (CCM) mbele ya mkutano mkuu wa utekelezaji wa ILANI kwa takribani
miaka minne katika kata hiyo, taarifa hiyo ilijikita katika fedha kutoka serikali
kuu kwa ajili ya miradi mbalimbali, fedha ya makusanyo ya ndani ya halmashauri
kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali, fedha ya mfuko wa jimbo kutoka
serikali kuu,fedha kutoka mfukoni kwa
mbunge na fedha kutoka kwa wananchi na sekta binafsi. # Mara Online Updates
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
Author Details
Ut wisi enim ad minim veniam, quis nostrud exerci tation ullamcorper suscipit lobortis nisl ut aliquip ex ea commodo consequat. Duis autem vel eum iriure dolor in hendrerit in vulputate velit esse molestie consequat.
Safi
ReplyDelete