
Naibu Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali  za Mitaa ( Tamisemi)  Mwita Waitara leo April 18, 2020 mapema
amefika katika kituo cha kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura katika kata
ya Itiryo wilayani Tarime kujiandikisha  na
hivyo  kuwa mpiga kura halali wa Jimbo la
Tarime  Vijijini 
#MaraOnlineNewsUpdates
|  | 
| 
Naibu Waziri wa Tamisemi Mwita Waitara akionesha kadi yake mpya ya kupiga kura baada ya kujiandikisha | 
 
 
 
 
 
 
.jpeg) 
No comments:
Post a Comment