NEWS

Saturday 18 April 2020

Waitara ajiandikisha dafatri la wapiga kura Tarime Vijijini



Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa na Serikali  za Mitaa ( Tamisemi)  Mwita Waitara leo April 18, 2020 mapema amefika katika kituo cha kuboresha daftari la kudumu la wapiga kura katika kata ya Itiryo wilayani Tarime kujiandikisha  na hivyo  kuwa mpiga kura halali wa Jimbo la Tarime  Vijijini 
#MaraOnlineNewsUpdates

Naibu Waziri wa Tamisemi Mwita Waitara akionesha kadi yake mpya ya kupiga kura baada ya kujiandikisha



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages