MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mara imeteketeza kwa moto bidhaa mbalimbali zenye thamani ya Sh milioni 292.3 zilizoingizwa nchini kwa magendo na nyinyine zikiwa hazina viwango vya ubora unaotakiwa.
Akizungumza
mara baada ya uteketezaji wa bidhaa hizo mjini Musoma jana Mei 15, 2020, Meneja wa TRA Mara, Wallace
Mnkande amewataka wafanyabiashara kuacha kasumba ya kuingiza bidhaa nchini
kinyume cha sheria.
(Habari na
Frankius Cleophace)
No comments:
Post a Comment