NEWS

Thursday 14 May 2020

Kijana mbaroni kwa kumbaka mtoto Simiyu




Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Henry Mwaibambe, amewambia waandishi wa habari leo Alhamisi Mei 14, 2020 kwamba jeshi hilo mkoani linamshikilia kijana Ndamo Mabula (25) kwa kosa la kumbaka mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano.

(Habari na Anita Balingilaki, Simiyu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages