NEWS

Saturday 16 May 2020

Makilagi amwaga misaada kituo cha afya


MBUNGE wa Viti Maalumu kupitia Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Amina Makilagi, amekabidhi msaada wa vifaa mbalimbali ikiwemo, mabati 100, shuka zaidi 100 na saruji kwa ajili ya kituo cha afya Magena wilayani Tarime, vyenye thamani ya Sh milioni saba.

Viongozi wa wilaya ya Tarime wakipokea msaada 

Makilagi amekabidhi msaada huo jana Mei 15, 2020 kupitia kwa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Tarime, mkoani Mara.
 
Katibu wa CCM Wilaya ya Tarime Mkaruka Kura akipokea kompyuta 
Mbunge huyo pia alikabidhi msaada wa kompyuta moja kwa  ajili ya shule ya sekondari Bomani iliyopo Halmashauri ya Mji waTarime

(Habari an Frankius Cleophace, Tarime)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages