NEWS

Wednesday 27 May 2020

WAITARA APIGA JEKI UJENZI NYUMBA YA MGANGA


Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara (mwenye kofia katikati), wiki iliyopita alikagua maendeleo ya ujenzi wa nyumba ya mganga wa zahanati ulianzishwa na wakazi wa kijiji cha Kobori wilayani Tarime, Mara na kuchangia ujezi huo Sh milioni moja. (Na Mpigapiche Wetu)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages