MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Andrew Masanja ambaye ni Afisa Utumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya (pichani), leo Alhamisi Julai 16, 2020 amekamilisha kujaza na kurudisha fomu ya kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Musoma Mjini, mkoani Mara.#Mara Online News
Post Top Ad
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment