NEWS

Tuesday 25 August 2020

CCM, Chadema uso kwa uso Tarime Mjini

 

Umati wa wafuasi na wapenzi wa CCM na Chadema ulivyokutana leo Jumanne Agosti 25, 2020 katika ofisi ya Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Tarime Mjini kuwasindikiza wagombea ubunge wa jimbo hilo, Michael Kembaki (CCM) na Esther Matiko (Chadema) wakati wa kurejesha fomu za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) za kugombea ubunge.#MaraOnlineNews-updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages