|
MKUU wa Mkoa wa Mara, Ally Salum Hapi (mwenye kofia)
akimsaidia mkazi wa mji mdogo wa Shirati wilayani Rorya, kubeba ndoo ya
maji ya bomba, alipotembelea mradi wa maji wa mji huo, leo Julai 15,
2021. Mradi huo unasimamiwa na Mamlaka ya Maji Safi na Usafi
wa Mazingira Musoma (MUWASA). Wa pili kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, CPA Joyce Msiru akifurahia tukio
hilo. (Picha na Mara Online News) |
Vituo vya kuchotea maji kila kona
Wananchi takriban 5,000 wa mji mdogo wa Shirati wameanza kupata huduma hiyo ya maji safi ya bomba kutoka Ziwa Victoria, baada ya MUWASA kuhuisha mradi huo kwa gharama ya Sh milioni 493 zilizotolewa na Serikali kupitia Wizara ya Maji.
MaraOnlineNews-Updates
No comments:
Post a Comment