NEWS

Friday, 31 July 2026

Rais Samia ateta na Mama Maria Nyerere


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mama Maria Nyerere leo Jumamosi, Agosti 1, 2026, Dar es Salaam muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages