NEWS

Sunday 23 April 2023

Chandi aungana na Katibu Mkuu wa CCM Chongolo ziarani China


Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mara, Patrick Chandi Marwa ni miongoni mwa viongozi waliopo kwenye msafara wa Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo katika ziara nchini China, ambapo pamoja na mambo mengine, wametembelea Shule Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha Watu wa China (CPC).

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages