Rais Samia Suluhu Hassan
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu, ambapo katika mabadiliko hayo ameanzisha nafasi ya Naibu Waziri Mkuu na kuitenganisha Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kuwa wizara mbili.
No comments:
Post a Comment