
Rais Dkt Samia Suluhu Hassan
----------------------------------------
Na Mwandishi Wetu
----------------------------
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Makurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mafia, Kassim Seif Ndumbo, Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu ilisema jana.
No comments:
Post a Comment