NEWS

Saturday, 14 September 2024

Klabu ya Waandishi wa Habari Mara yawashukuru Grumeti



Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa wa Mara, Jacob Mugini (kulia) akimkabidhi Meneja Mahusiano wa Grumeti Fund, David Mwakipesile vyeti maalum kwa kutambua mchango wa Grumeti Fund na Grumeti Reserves katika kufanikisha mdahalo wa Mara Bora kwa Uwekezeji, uliofanyika hivi karibuni, ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi. (Picha na Mara Online News)
Read Also Section Example

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages