Na Mwandishi Wetu
Wahenga waliposema kwamba unaweza kulala maskini kesho yake ukaamka tajiri hawakuelezea dhana isiyo na ukweli ndani yake. Uthibitisho wa usemi huo ni bahati iliyomkuta mchimbaji mdogo wa dhahabu wilayani Chunya, mkoani Mbeya, Aidan Msigwa, aliyeshukiwa na ngekewa ya kupata shilingi bilioni 20 bila kutarajia kwa mauzo yake ya madini hayo.
Hapo Septemba 17 mwaka huu 2024 Msigwa hakujua kwamba ataingia kwenye orodha ya mabilionea alipokwenda Soko la Madini la Chunya kuuza dhahabu yake kilo 111.82 na kujipatia shilingi bilioni 20.1.
Msigwa ni mchimbaji mdogo anayemiliki leseni za uchimbaji na utafutaji madini katika maeneo tofauti wilayani Chunya. Pia anamiliki mtambo wa uchenjuaji wa madini hayo.
Afisa Madini Mkazi wa Mkoa wa Kimadini wa Chunya, Laurent Mayalla, amesema kupitia mauzo ya madini hayo serikali imejipatia kiasi cha shilingi bilioni 1.2 ikiwa ni mrahaba, shilingi milioni 201 ada ya ukaguzi na shilingi 60.34 malipo ya ushuru wa huduma ya Halmashauri na shilingi 402.31 malipo ya kodi ya zuio kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania.
“Kitendo alichokifanya Msigwa ni cha kizalendo kutokana na ushirikiano alioutoa kuanzia uchimbaji hadi uzalishaji wa dhahabu hiyo. Ni kitendo kinachopaswa kuigwa na wachimbaji wote katika kudhibiti utoroshaji madini,”amesema Mayalla.
Soko la Madini la Chunya ni la pili kuanzishwa nchini hapo Mei 2019 baada ya Soko Kuu la Madini la Geita lililoanzishwa Machi 2019.
Hadi sasa yapo masoko 43 ya madini nchi nzima na vituo vidogo vya ununuzi wa madini 105. Mkoa wa Madini wa Chunya unashika nafasi ya pili kwa uzalishaji wa dhahabu kwa wachimbaji wadogo.
Need The To Hire A Hacker❓ Then contact PYTHONAX✅
ReplyDeleteThe really amazing deal about contacting PYTHONAX is that the Hack done by us can’t get traced to you, as every Hacking job we do is strongly protected by our Firewall. It’s like saying if anyone tries to trace the Hack, it will lead them to us and we block whatever actions they are doing.
We have been Invisible to Authorities for almost a decade now and if you google PYTHONAX, not really about us comes out, you can only see comments made by us or about us.
Another Amazing thing to you benefit from Hiring our Hackers is that you get a Legit and the best Hacking service, As we provide you with Professional Hackers who have their Hacking Areas of specialization.
We perform every Hack there is, using special Hacking tools we get from the dark web.
Some list of Hacking Services we provide are-:
▪️Phone Hacking & Cloning ✅
▪️Computer Hacking ✅
▪️Emails & Social Media Account Hacking✅
▪️Recovering Deleted Files✅
▪️Tracking & Finding People ✅
▪️Hunting Down Scammers✅
▪️Hack detecting ✅
▪️Stealing/Copying Files & Documents From Restricted Networks and Servers ✅
▪️Bitcoin Multiplication✅
▪️Binary Option Money Recovery ✅
▪️Forex Trading Money Recovery✅
▪️IQ Option Money Recovery✅
And lots more......
Whatever Hacking service you require, just give us an Email to the Emails Address provided below.
pythonaxhacks@gmail.com
pythonaxservices@gmail.com
PYTHONAX.
2020 © All Right Reserved.