Mwenyeketi
wa Halmashauri ya Wilaya ya Serengeti Juma Porini amesema maadhimisho ya siku ya Mara 2019 ni fursa kubwa kwa wafanyabiashara wa mji wa
Mji wa Mugumu.
“ Tumeanza kupokea wageni wengi kutoka ndani na nje ya nchi , hii ni fursa kubwa kwa
wafanyabiashara wetu kuuza bidhaa na
huduma mbalimbali “, Porini ameimbia
Mara Online News ofisini kwake .
Mkuu wa Mkoa
wa Mara(RC) Adam Malima amezindua maadhimisho hayo leo Septemba 12,2019 katika viwanja
vya Sokoine .
No comments:
Post a Comment