NEWS

Friday 27 March 2020

MACHINGA WATAKIWA KUTOFANYA BIASHARA BARABARANI



Halmashauri ya mji wa Dodoma imewataka wafanyabiashara wadogo almaarufu kama machinga wanaofanya biashara katika maeneo yasiyokuwa rasmi ikiwemo barabarani kuondoka kuwa ni maeneo hatari kwa usalama na afya  #Mara Online Updates

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages