NEWS

Wednesday 25 March 2020

Mbunge wa Ukonga mikononi mwa Kamati ya Maadili CCM Mara



Mbunge wa Jimbo la Ukonga, Mwita Waitara amefika mbele ya Kamati ya Maadili ya CCM Mkoa wa Mara jioni ya leo Machi 25, 2020 kuitikia wito wa Mwenyekiti wa chama hicho, Samwel Kiboye. Haikujulikana mara moja ameitwa kujibu mambo gani.


No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages