Mwanamuziki
maarufu wa Marekani Kenny Rodgers amefarki dunia akiwa na umri wa miaka 81 akiwa nyumbani
kwake kutokana na visababishi vya kiasili( natural causes), taarifa ya familia yake imetangaza
muda mfupi uliopita kifo cha Rodgers kwa masikitiko huku ikibainisha kuwa hafla fupi ya mazishi inaandaliwa kutokan na
janga la Coronavirus# Mara Online News updates
Post Top Ad
Your Ad Spot
Saturday, 21 March 2020
Mwanamuziki Kenny Rodgers afariki dunia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment