MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu
wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, Jumatatu Aprili 6, 2020 amewasilisha
katika Bunge la Tanzania ripoti yake ya ukaguzi kwa mwaka wa fedha wa
2018/2019.
Kwa mujibu ripoti hiyo,
ofisi ya CAG imetoa hati 1,082 za ukaguzi, kati ya hizo, zinazoridhisha ni
1,017 (sawa na asilimia 94), zenye shaka ni 46 (sawa na asilimia 4.25), zisizoridhisha
ni saba (sawa na asilimia 0.64) na mbaya 12 (sawa na asilimia 1.11).
No comments:
Post a Comment