Magdalena Japhet na Frank Makaranga |
Madiwani Magdalena Japhet (Viti Maalumu Bunda), Chiluma Sumi (Kata ya Bunda Stoo) na aliyekuwa Afisa Utafiti na Organization Chadema Kanda ya Serengeti, Frank Makaranga, wametangaza kukihama chama hicho na kujiunga na NCCR Mageuzi wakidai Chadema kimepoteza mwelekeo na kwamba hakina lengo la kushika dola bali kimebaki kuwa cha watu wachache
No comments:
Post a Comment