NEWS

Tuesday 12 May 2020

DC akabidhi fidia ya mamilioni kwa mwanakijiji Tarime

Mkuu wa wilaya ya Tarime, Mhandisi Mtemi Msafiri (Kulia) akikabidhi hundi za zenye thamani ya Sh  zaidi ya milioni 51 kwa Ghati Methusela (Kushoto) zilizotolewa na Mgodi wa North Mara unaoendeshwa na kampuni ya Barrick kama fidia ya ardhi. Mgogoro huo umedumu kwa takribani miaka sita. Katikati ni Afisa Uhausiano wa mgodi huo, Hussein Lutambi  (Picha na Amina Kakiva)

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages