Mkuu wa Wilaya ya
Ilala, Mhe. Sophia Mjema (katikati) Leo Juni 05/2020 amepokea mchango wa
barakoa kutoka kwa Tawi la CCM China, makabidhiano hayo yamefanywa na
Viongozi wa Tawi la CCM China yakiongozwa na Mwenyekiti wa Tawi CCM
China ndugu Salum Ramia, Katibu wa Tawi hilo ndugu Yazid Iddi katika
ofisi za Wilaya ya Ilala huku yakishuhudiwa na viongozi wa CCM wa Wilaya
ya Ilala, UVCCM Wilaya ya Ilala na wanachama wa Tawi la CCM-China
(PICHA NA HERI SHAABAN)
Friday, 5 June 2020
CCM Tawi la China latoa msaada wa kukabili Corona Ilala
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment