Mkuu wa Wilaya ya Tarime mkoani Mara, Mhandisi Mtemi Msafiri, leo Juni 24, 2020 amekutana na maofisa watendaji wa kata wilayani humo na kuwahimiza kutekeleza majukumu yao kwa weledi ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo katika maeneo yao ya uongozi inatekelezwa kwa ufanisi.#Maraonlinenewsupdate
Post Top Ad
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment