NAIBU Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mwita Waitara (aliyesimama), jana Julai 15, 2020 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) aweze kugombea nafasi ya ubunge katika Jimbo la Tarime Vijijini, mkoani Mara.#Mara Online News
Post Top Ad
Your Ad Spot
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a comment