NEWS

Tuesday 28 July 2020

Kada wa CCM, Altaf Hiran Mansoor amlilia Mkapa

KADA wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Altaf Hiran Mansoor, akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu Tanzania, hayati Benjamin William Mkapa, nyumbani kwa marehemu - Masaki jijini Dar es Salaam, juzi.#MaraOnlineNews

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages