KADA
wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mwita Waitara ambaye pia ni Naibu Waziri wa TAMISEMI, ameng'ara katika uchaguzi
wa kura za maoni za kuomba ridhaa ya kupeperusha bendera ya chama hicho
kwenye kinyang'anyiro cha ubunge jimbo la Tarime Vijijini.
Katika
uchaguzi huo uliofanyika mjini Tarime leo Jumanne Julai 21, 2020,
Waitara ameshinda kwa kupata kura 291, akifuatiwa na James Bwire (135),
Eliakim Maswi (128) na John Gimunta (74).#Mara Online News
No comments:
Post a Comment