HALMASHAURI ya Mji wa
Tarime mkoani Mara imepokea shilingi zaidi ya bilioni mbili kutoka Serikali Kuu
kwa ajili ya kugharimia ujenzi na ukarabati wa miundombinu mbalimbali ya
taasisi za kijamii.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Elias Ntiruhungwa akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) ofisini kwake.
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Tarime, Ntiruhungwa na timu yake wakikagua vibanda vya biashara katika soko la Rebu, ambalo pia litanufaika na sehemu ya shilingi bilioni mbili zilizotolewa na Serikali Kuu. |
Amefafanua kuwa fedha hizo
zitatumika kugharimia ujenzi na ukarabati wa miundombinu mbalimbali ikiwemo
vyumba vya madarasa, nyumba za watumishi na mifumo ya maji na umeme katika
taasisi hizo.
(Imeandikwa na Mara Online News)
No comments:
Post a Comment