NEWS

Thursday 20 August 2020

Kembaki achomoza kinyang'anyiro cha ubunge Tarime Mjini

Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi Agosti 20, 2020 imemteua Michael Kembaki kugombea Ubunge wa Jimbo la Tarime Mjini mkoani Mara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.#MaraOnlineNews

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages