Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Alhamisi Agosti 20, 2020 imemteua Jafari Chege kupeperusha bendera ya chama hicho katika kinyang’anyiro cha Ubunge wa Jimbo la Rorya mkoani Mara katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 28, mwaka huu.#MaraOnlineNew
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment