NEWS

Thursday 13 August 2020

Vikundi vya COCOBA vyasaka soko la asali Nane Nane Simiyu

 Wafanyakazi wa Frankfurt Zoological Society (FZS) Ofisi za Serengeti na wanachama wa Benki za Hifadhi  za Jamii (COCOBA) wakiwa katika maonesho ya Nane Nane  katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu hivi karibuni  ambapo walitumia fursa hiyo kujenga mtandao wa soko la asali inayozalishwa na vikundi vya COCOBA  ambavyo vimeanzishwa  kwa msaada wa FZS  katika eneo la ikolojia ya Serengeti .  Hadi sasa zaidi ya wanachama 2,400 wengi wao wakiwa wanawake wamefikiwa na mfumo huo wa COCOBA ambao pia unasadia kunahamasisha uhifadhi endelevu katika ikolojia ya Serengeti.

 

No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages