NEWS

Wednesday 30 September 2020

Chege azidi kung'ara ubunge Rorya

 

Mgombea ubunge jimbo la Rorya kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jafari Chege (mwenye shati la njano kulia) akipungia umati wa wananchi waliohamasika kumsikiliza na kumshangilia mara nyingi katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katani Milare leo Septemba 30, 2020.#MaraOnlineNews-Updates 



No comments:

Post a Comment

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages